Hii ni kwa wanandoa tu!!!!!!!!!.

Wakati mwingine na wao wanaomba, huyo kuna uhuru hujampa, anakuogopa, yote inawezekana. au kuna kidume ameshazoea kumuomba.
 
leo umeamua kutoa ushauri wa haja kweli kweli,...thanx sana


leo nina machungu na wavaa suruali na wenye ndevu..km wewe unavyowaamkiaga wavaa kanga ..its ur turn beb...kuwen wapole..bt u xluded...ntwachamba wooote bt si wewe dia swt at....ma sugar lava pai papa!!!!!!!!!!!
 
Ili utafiti wako ukamilike acha kuomba kwa muda wa mwezi mzima uone kama ataendelea kutulia. Kama unamwomba kila siku utafahamuje kuwa hana tabia ya kukuomba ilhali kila siku unamwahi?
 
mimi nimepiga likes zangu kisha huyoooooooo nasepa.
 
kama amekubali kuolewa analala chupi ya nini? ndio maana unasema lazima uanze kumuomba mpaka umvue saangapi tumia shuka moja kujifunika kama utalipia nauli tena
 

Usitie najisi bana we km huna ndoa hautambuliki kama ushaanza mambo hayo ni tendo la ndoa lafanywa na wanandoa wenye ndoa wewe kama unajua unachakaachua (kama hujaoa hamna mtu atakusumbua wala kuuliza umezaa?ukishaoa ndio wanaanza kuhesabu miaka na ukichelewa maswali yanaanza hiyo inamaanisha kila mtu anajua unafanyaga lile tendo teule)
 
the boss kwan kiburudisho ni nini????????
we we we usijesema ni m..ke yan patachimbika hapa

shalis...easy easy..ukiwa she wewe ni kiburudisho cha mume na he....ni kiburudisho cha mke simple ..kila mmoja ni kiburudisho cha mwenzake lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…