the blue sky
Member
- Oct 17, 2018
- 24
- 18
Niaje wakuu, Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu wa 2018,nikafanikiwa kuchaguliwa Home university. Na hizi ndio sifa za home university. 1.Hakuna boom wala mkopo. 2.Hakuna ada in bure kabisa. 3.Hakuna kusap wala kudisco. 4.Hakuna cha quiz wala test. 5.Huku ni__________________ 6_______________________
7____________________
8______________________
Dah! wanangu wa home university mpoooo.maisha yanaendaje huko. Ila😭😭😭😭 BODI YA MIKOPO MUNGU ANAWAONA.
Muwe na siku njema wakuu
7____________________
8______________________
Dah! wanangu wa home university mpoooo.maisha yanaendaje huko. Ila😭😭😭😭 BODI YA MIKOPO MUNGU ANAWAONA.
Muwe na siku njema wakuu