the blue sky
Member
- Oct 17, 2018
- 24
- 18
asante,japo inauma sanamdogo wangu naona wamekunyima mkopo... pole sana asee ndio maisha yalivyo
lakin hii ishu ya mkopo wa bodi mimi huwa napenda kuwashauri madogo wengi wauchukulie kama mkopo mwingine tu ulivyo so hakuna guarantee ya 100% kuwa utaupata
maana at the end of the day anayewakopesha ana uhuru wa kumpa nani na nani amnyime
na hakuna sheria itakayomuhoji kwann fulani umempa na fulani hujampa
so usiweke mategemeo yako yote kwenye mkopo
unaweza ukawekeza mawazo yako yote kwenye mkopo wa bodi na ukaukosa alafu ukaishia kuwa frustrated
pole sana i knw the feeling... nna rafiki yangu mmoja naye alikaaga home mwaka mzima kwa kukosa mkopoasante,japo inauma sana
Nashukuru kwa kunifariji,mungu akubarikipole sana i knw the feeling... nna rafiki yangu mmoja naye alikaaga home mwaka mzima kwa kukosa mkopo
ila mwaka uliofatia aliomba tena akapata... akaingia ARU akapiga bach ya PFM now yupo zake dubai huko kampuni la MCHECHU kama property manager
so usikate tamaa hapo sio mwisho kuna mengi mazuri yapo mbele chamuhimu kupambana
Japo kwa maswahibu Haya siyo ya kucheka ila hili jibu lako limechekesha kiukweliNimependa wapi,,basis tu