Hii ni kwa Wanaohusika na taaluma ya Ujenzi wa Nyumba

Wasiliana na VOX ENGINEERING INTERNATIONAL LTD
Namba za simu: 0714136897, 0716697554
kwa masuala ya ujenzi, kuipamba nyumba yako pamoja na kufanya electrical wiring.
 
My brother or my sister Nina ndugu yangu ambae anajihusisha na ujenzi na usimamizi wa nyumba za watu wengi ambao hawana nafasi ya kusimamia. Mie mwenyewe amenisimamia nyumba zangu mbili maeneo ya Makondeko darasalaam.
Ni pm ili nikuunganishe nae hutajutia
 
Siku 40 unamalizaje ujenzi
Sio nyumba tu,kitu chochote kinaweza kujengwa kwa muda mfupi ni hela yako tu ndugu.rejea ujenzi wa ile hospital ya corona China.
 
Sio nyumba tu,kitu chochote kinaweza kujengwa kwa muda mfupi ni hela yako tu ndugu.rejea ujenzi wa ile hospital ya corona China.
Kibongo bongo bila ujenzi kukata miaka nane mtu anakua hajaridhika kama hiyo nyumba kweli itakua salama kuishi na imekamilika 😂😂
 

Ndugu A3M, ukiipa kampuni au ndugu ni lazima tu uibiwe au upigwe. Kama hutaki kuibiwa au kupigwa. Tunza hela yako bank, ukirudi utajenga kwa viwango vyako utakavyo. Mtu hawezi kusimamia nyumba yako bila ya yeye pia kupata chochote kitu. Huu ni ukweli mchungu.
 

Ndugu usijaribu huo ujinga...nyumba ata uipe kampuni lazima mwenyewe uwepo.

Yaani hiyo miaka mitano unashindwa tafuta wiki sita tuu une usimamie?
 
Reactions: A3M

Wee unajua ujenzi
 
Ndugu usijaribu huo ujinga...nyumba ata uipe kampuni lazima mwenyewe uwepo.

Yaani hiyo miaka mitano unashindwa tafuta wiki sita tuu une usimamie?
Asante mkuu kwa ushauri
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Ninayo kampuni ya ujenzi mkuu, njoo Pm tuongee zaidi
 
Kuna makampuni mengi kama cost consult wao wanaweza kukusimamia hadi mwisho wa ujenzi wako ila ukitumia vikampuni visivyoeleweka watakupiga na kujenga chini ya viwango
 
Nyumba ya aina gani hiyo mkuu? ghorofa au ya kawaida tu?Kuna kampuni nilitaka nikuoe mawasiliano nao ufanye nao kazi.
 
Ningekushauri kwakua ukobali ni bora ungechukua kampuni ndogo tu hata class seven. Ujengewe kwa uaminifu mkubwa si mafundi wetu hawa. Kwanza kampuni itakuwa liable na chochote kile kitakachotokea na kuna kuwa na contract kuliko hawa mafundi wetu wa mtaani.

Kampuni imekuwa registered crb hata kukitokea chochote unaweza kushtaki si kama hawa mafundi wakawaida. Karibu gracefem.co.ltd tukuhudumie tuko Arusha.
 
Ukihitaji kuchimba kisima usisite kuwasiliana nasi
 
Hata hiyo nyumba ikifanikiwa kujengwa watu wakishajua haurudi sasa hivi bongo wataiuza tu watu wale pesa
 
Mtafute mtu anaitwa SIMEON MPYANGA ni mwalimu pale Ardhi university, anafundisha architecture, na ana kampuni yake ya kuchora ramani za majengo inaitwa Hansi. Huyu ndiye mtu pekee katika ninaowajua anaeweza kukusaidia kukusaidia shida yako.

Ni mtu mwaminifu na mwadilifu na ana ujuzi, uzoefu, na elimu ya kutosha kwenye unachotaka na hana njaa zetu hizi. Shida ni kukukubalia. Mi namba zake nishapoteza ila kama una shida jaribu kumtafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…