Hii ni kwa wapenzi wa MAN-U tu

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Kadi nyekundu ya Eric Bailly jana, kadi hiyo imemupa tano beki huyo raia wa Senegal.
Baada ya Maurinio kufurushwa sasa lazima kuweka nidhamu kwenye defence.

Eric Bailly alitoa onyo kali kwa maforward wote atakaopamabana nao kwamba ni lazima waelewe wazi yeye ndiyo anachukua mkoba wa timu hivyo ni lazima waelewe kwamba wasipochukua tahadhari wanaweza kuvunjwa mguu kwa sababu sifa mojawapo ya mkoba mzuri ni kupata kadi nyekundu muda wowote na isipite mechi tano bila kupata kadi nyekundu.
Hii inawafanya waforwad kupigia mbali na kufanya mapigo yasiyo na mwelekeo.
Hongera sana Eric Bailly kwa kutaka kurudisha nidhamu kwenye defence ya MAN -U.
 
Eric Baily ni raia wa Ivory Coast

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajakutana na diego costa au supermario baloteli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni raia wa Ivory coast mkuu, kingine kadi nyekundu si Sifa ya kua beki mzuri,
Uliwahi kumuona Maldin? Hakuwahi kupata kadi kabisa na kacheza miaka takriban 21, unamfahamu Philiph Lahm ? Hajawahi hata kupata kadi ya njano na kaweka alama kibao katika soka ,
Baily kacheza rafu sehemu ambayo hakupaswa kucheza, kingine kulikua na umuhimu gani wa kucheza rafu wakati tayari timu inaaongoza kwa magoli , timu inaongoza kwa kumiliki mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa zenu za kuanza kubebwa na FA baada ya kurudi Babu yenu Alex Ferguson tunazo.

Sababu ni mscotch na anajuana na viongozi wengi sana wa FA kwa kukaa sana katika kuifundisha Man U zaidi ya miaka 26.

Goli la Lukaku ni la halali?

Tafakari, chukua hatua, haki footbal[emoji57][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania bwana wapuuzo kwelo timu ilikuwa imeoza nyot mnasherehekea imefufuka mnakunyakunya eti inabebebwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…