Hii ni kwa wauza maduka wenzangu

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Katika harakati zangu za kusaka pesa kupitia biashara ya duka la rejareja....hua napenda kujifunza vitu kutoka kwa wauzaji wengine....lakini pia hata kupitia jamii inayotuzunguka

Hua napenda kuzunguka sehem zenye maduka na ikiwezekana hata kununua kitu just kutaka kujua upangliaj wa bidhaa...bei hata na bidhaa nsizokuwa nazo(just kwa kuangalia)

Kupitia harakati hizi nmejifunza kuwa watu wengi wana mitazamo ifuatayo kwa sisi wauza maduka(hasa reja reja)

1.Muuza duka lazima alale dukani
-wengi wao hutegemea kmuona muuza duka akilala dukan....ndo mtazamo walotuwekea....wanaamini katika kila meza ya muuza duka chini kuna godoro....damn it

2.wauza maduka hawako smart
-yan wanaamin kuwa wauza maduka reja reja wao n nguo chakav tu...!!hatujipendi...!!kwapa znatema...!!yte n kwakuwa hatuna mda wa kufua au ht pesa ya knunua nguo

3.hatuna mapumziko wala mda wa kulala
-wengi wanaamini muuza duka mda wote uwe kazin...no weekend au mapumziko...ikitokea duka limefungwa hapo tegemea maswali na lawama kutoka kwa wateja(watasema umeshba pesa)
Na pia hawategemei kuwa utachelewa kufungua ama kuwah kufunga....ukienda kinyume na hapo lawama kibao ztakuangukia

Mipangilio yangu mimi
1.kwanza cwez kulala dukan....mimi sio mo passion...!!ni binadam na nnahtaji faragha....so kwa hili nmepanga chumba ambacho nakilipia kwa makadirio ya mshahara wangu hapo dukan(kujilipa ni muhim)

2.Muda wa kufunga ni saa 3.30 ucku.....saa 1 kamili asubuh n lazma duka lifunguliwe

3.Hua natenga cku 1 ya mapumziko...!!cku ambayo nitafanya usafi wa nguo na ndan ya chumba kwa ujumla...na cku ambyo nitajipikia mwenyew

Ushauri:...
Nimepita maduka mengi saana...na nnashuhudia mangi weng wakiwa n watumiaj sana wa kahawa na vnywaji vya energy...hii yote n kuenda na kasi ya kutafuta pesa

Lakini tusisahau kuwa caffeine ina madhara...lkn pia wew n bnadam...jipangie ratiba zako ambzo ztakufanya angalau kimwili...kiakili na kimaisha uwe vizuri

Hela zipo siku zote....na tutaziacha...!!kuna muda..(sio muda wote) unatakiwa kuipa kisogo na utumie muda huo kupanga maisha na familia....kuonana n ndugu...plus pia kuzunguka(kukaa sehem moja cku mzma inachosha)

Ni mtazamo na ushauri wangu
 
Mtazamo wako nimeupenda sana ila biashara ya duka hasa la reja reja ili upate hesabu zaidi ni kuwa kufungua ma kuchelewa kufunga.
Sijabisha ndugu lakin kumbuka pia muuzaji n bnadam...!!maisha n kitafta kwa akili...!!na pia ili upate hela zaidi kweny biashara....!!uwe na maisha marefu
 
Afadhali duka mkuu, usiombe kuwa konda ama dereva daladala hadi mwezi na tarehe vyote unasahau,kwenye nyumba anakuona siku ya kulipa kodi tu,hata wapangaji wenzako hawakufahamu
 
Afadhali duka mkuu, usiombe kuwa konda ama dereva daladala hadi mwezi na tarehe vyote unasahau,kwenye nyumba anakuona siku ya kulipa kodi tu,hata wapangaji wenzako hawakufahamu
Hahahaaaa
 
Mkuu naomba tuwe tunabadilishana mawazo..nimeanza kaz hii sina mda mref..napenda kujifunza mengi kwako
 
Duka la reja reja: maji, vocha zote, sabuni ya kipande jamaa na ya unga, chumvi, sukari, kalamu, mikate, dawa ya meno, mafuta ya kujipaka, mafuta ya kula na taa, mishumaa, viberiti, fagio za usafi, taa za majumbani bulb, siagi almaarufu blue band, tanga fresh maziwa. Mpesa Tigopesa kama ipoo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asee kama ni wakiume kaa vizuri na wake za watu asa ukiwa na uwezo.
 
Wazo lako ni zuri, lakini kumbuka ukitanguliza ubinadamu na maisha bora UTAPISHANA NA PESA.
 
Haaaa kwanini mkuu
 
Hizo zote ni sifa za wauza duka wa vijijini, wa mjini hatuko hivyo
 
Unaoga muda gani braza.... Maana kuoga ni tatizo kwa wauza maduka wengi [emoji23]
 
Unaoga muda gani braza.... Maana kuoga ni tatizo kwa wauza maduka wengi [emoji23]
Hahahahaaaa yan ndugu naamka saa 11.30 asubuh...naoga...nasepa...saa 1 nafungua...nkrudi tu yabd kuoga teena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…