Hii ni kwa wenye IQ kubwa tu: Which room is the safest? Jibu sahihi ninalo

Swizzy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
773
Reaction score
514
A murderer is condemned to death.

He has to choose between three Rooms:-

1. room: is full of ranging fire

2. room: assassins with loaded guns.

3. room: Lions who haven't eaten in years.

WHICH ROOM IS THE SAFEST? (chumba namba ngapi ni salama zaidi) toa na sababu



JIBU SAHIHI: ninalo nitaliweka baadae
 
Ni room #2 kwa sababu hao assassins ni binadamu mnaweza kuyamaliza kuliko moto na simba
 
room no.2Bunduki huweza kugoma, watu pia huweza kuingiwa na huruma.
 
No 3 hao simba watakua wamechokaaa kama sio kuzima kabisa
 
Chumba namba tatu ndio salama maana hao simba watakuwa washakufa sababu ya njaa.

latest edition
 
siku nyingine uangalie na maswali yakusema ni ya wenye IQ kubwa
 
hili la leo naona mmelionea sana
 
Nitasimama kwenye korido hadi askari aondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…