Hii ni kwa wenye uelewa mpana

Hii ni kwa wenye uelewa mpana

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
"Mimi huwa sisemagi ukweli"

Naomba mniambie hiyo sentensi hapo juu ina maanisha kuwa huyo jamaa ni mkweli?
Na kama ni mkweli, kwanini hapo kaongopa?

Na kama sio mkweli, maana yake anasemaga ukweli na kama anasemaga ukweli, kwanini hapo kaongopa?

Karibuni wenye vichwa vyenu
 
Tatizo hujatupa nafasi ya kutoa majibu yetu yaani umeshatoa majibu yako na umetaka tujibu kupitia hayo majibu yako mku
 
Ambao hatuna uelewa mpana comment zetu tunaziweka wap..
 
Teh teh iko hivi mkuu,

Maana yake yaweza kuwa kama ifuatavyo;

Ni kuwa hana tabia ya kusema ukweli kabisa, kwahiyo kwa kauli yake anahitimisha kuwa yeye siyo mkweli. Hata hiyo kauli yake ni ya uongo, hivyo basi yeye ni Muongo pia Mkweli.
 
Kaamua kusema ukweli kuwa yeye hasemagi ukweli kwa hiyo yeye Ni mkweli

Au


Yeye Ni muongo na ndo maana amekudanganya kuwa yeye hasemagi uongo.lakini ndo tayari muongo Kama alivosema uongo
 
Kwa kuwa hakuna alama ya kuuliza mwishoni ni dhahiri kwamba mzungumzaji amekusudia kudhihirisha kuwa huwa hana tabia ya kusema uhalisia wa jambo.
 
Back
Top Bottom