Kwahiyo hatakama mtu hayuko attracted na mwenzake hata kidogo atampenda!!Nakataa kuamini...labda utueleza kinasema ni sababu gani haswa zinasababisha!
Kwahiyo hatakama mtu hayuko attracted na mwenzake hata kidogo atampenda!!Nakataa kuamini...labda utueleza kinasema ni sababu gani haswa zinasababisha!
Inaweza kuwa kweli.....:coffee:
hilo halina ubishi hata kidogo na mifano ni mingi sanaNilikuwa napitia kitabu kinachoitwa This is love. Mwandishi wa kitabu hicho anasema iwapo watu wa jinsia mbili tofauti na wasio na undugu wowote, na kama wanakaa ofisi moja huku viti vyao vikiwa vimetizamana na hivyo kuwafanya nao watizamane(kama mkao wa daktari na mgonjwa), siku ya mwisho hujikuta wakiangukia katika mapenzi.
Onyo: mkiwa ofisini wekeni viti vyenu katika mkao ambao hamtaangaliana. usijaribu
hilo halina ubishi hata kidogo na mifano ni mingi sana
mi mzima niliwamis for sometimes!kumbuka vigroup discussion vya chuo au shuleni with time nini kilifwata baada ya somo kama sio kutongozana?hujambo marytina?
hebu tupe hiyo mifano mingi uliyonayo!!!!
haiwezekani kabisaaaaa