Hii ni kweli kuhusu kujamiana?

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,708
Nimepata kusikia eti unapofika kileleni na manii kutoka kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke kwamba wakati huo huo kuna majimaji fulani hutoka kwa mwanamke na kuelekea kwa mwanaume.
Inasemekana kitendo hicho ndicho kinachosababisha watu kuambukizana magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo gonjwa sugu la ukimwi.
Chunga sana condom inapopasuka,nawasilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…