Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?
Nakuona kama una tatizo la mtindio wa ubongo wewe. Unaposema kuna rokoo usiku una maana hakuna wanafunzi wanaokaa off campus? Au hiyo rokoo wanafuata mpaka huko wanakoishi kuwafanyia? Mimi ni mwislam safi na nimesoma hapo Saut, mbona sikuona hata siku moja tukilazimishwa kwenda kanisani? Wewe kama umefail form 6 na umekosa credit za kukupeleka chuo acha mara moja kupaka matope vyuo vyetu.Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?
Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?
Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?
We mwanzisha thread ni wale watoto wa form six. Imagine, utuambia SAUT UNIVERSITY. Je hiyo ni taasis gani Tanzania? Halafu unasema ni chuo cha kikristo. Unatikiwa kujua kwamba ile sio Seminary ambayo Chuo cha Kikristo. Unashindwa kutofautisha kati ya the University of the Church and the University for the Church. Yaani Chuo cha Kikristo na Chuo cha Kanisa. SAUTI is the University of the Church and not for the Church. Kile ni chuo cha Kanisa Katoliki hivyo hawatokubali hata kidogo kuona maadili yanabomolewa kirahishi na wao watazame tu eti watu wana uhuru wa kuvaa mavazi wayakayo. Hakuna uhuru usio na mipaka. Vinginevyo comment ya Sanator kwamba huu ni umbea ni sahihi kwa kweli.Umbea tu..wabongo bana!!
Wewe dawa yako uende ukaombe chuo pale Muslim University Morogoro,maana naona unaanza kutania watu,uongo wako wooooooooooote utakuisha!Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?
yote c kweli... ila kuhusu mavazi ni mavazi ya heshma japo kuna wanafunzi wanavaa wanavyotaka....
Lakini kama wewe unafata ELIMU ckutegemea kama ungeuliza haya yote... lakini kama wewe unafata haya yote uliyoyaorodhesha hapo juu Njoo Rock city uongeze TAKE AWAY..
ungejua wateja wa night club zinazozidi kujengwa mwanza kila kukicha ni wanafunzi wa saut wala usingekurupuka