Hii ni kweli kuhusu tiba ya UKIMWI?

So mUOTE="kauzu12, post: 20578870, member: 398148"]Hii post uliyocomment unajua tunazungumzia nn?[/QUOTE]
Si mnazungumzia ugunduzi was dawa ya ngoma.Siri gani ya watu kutumi arvs
 
Wengi waliogundua dawa hii weshapotezwa sana. Maana huu mnaoita ugonjwa una siri kubwa sana, wanaoelewa wamekaa Kimya. Acha wapumbavu waendelee kuteketea na arv's.
Mkuu hebu ni pm hio siri, unaonekana mjuvi
 
Hats mimiTE="Extrovert, post: 20578982, member: 355305"]Mkuu hebu ni pm hio siri, unaonekana mjuvi[/QUOTE]
Hata Mimi natamani niijue
 
Wengi waliogundua dawa hii weshapotezwa sana. Maana huu mnaoita ugonjwa una siri kubwa sana, wanaoelewa wamekaa Kimya. Acha wapumbavu waendelee kuteketea na arv's.
It's not a disease, it's the BUSINESS, a multi billion dollars business
 
Hats mimiTE="Extrovert, post: 20578982, member: 355305"]Mkuu hebu ni pm hio siri, unaonekana mjuvi
Hata Mimi natamani niijue[/QUOTE]
Tafuta uzi wa Jamaa mmoja anaitwa deception, ameeleza vizuri sana, Sema watu hawataki tuu kumuelewa, hii yote ni kujazwa Ujinga wa mtu mweupe
 
Ina maana mchele tu na hiyo kahaw ndio inaponya huu ugonjwa au ndani ya hiyo kahawa kuna mixing ya dawa nyingine mlio elewa mtufahamishe nasisi tupeleke hii elimu kwa watu wengine maana huu uginjw sio wa mtu mmoja ni wa dunia na taifa kwa ujumla naomba kufahamishwa hapo kwenye mchanganyiko wa hizo dawa ninini na nini kimetumika ?
 
So mUOTE="kauzu12, post: 20578870, member: 398148"]Hii post uliyocomment unajua tunazungumzia nn?
Si mnazungumzia ugunduzi was dawa ya ngoma.Siri gani ya watu kutumi arvs[/QUOTE]
Mkuu huu ugonjwa uko kisanii sana. Tafuta uzi unaitwa..
Virusi ya ukimwi na upimaji wake.
 
Kihistoria ni mtu mmoja ambaye alishapona HIV, jamaa anaitwa timothy ray brown aligundulika na HIV mwaka 1995, mwaka 2006 alipata leukemia(cancer ya damu) baada ya kupewa tiba ya chemotherapy ambazo hazikumsaidia kutibu leukemia, alifanyiwa bone marrow transplant baada ya kupona leukemia accidentally na HIV virus pia wakawa wameondoka mwilini mwake.
 
Unanamaana gan wasitumie arv wafe au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…