Hii ni kweli yanatokea

Hii ni kweli yanatokea

Isalia

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
1,209
Reaction score
435
Jamani hivi ni kweli mmo ndani ya ndoa lakini ukimtaka mkeo kimwili uanze kumtongoza kama vile hamjawahi kuonana ingawa mnalala kitanda kimoja
 
Kuna walakini hapo... Akishaolewa, anatakiwa kulala kama alivyozaliwa,
wengine husema, anatakiwa kuvaa kufuli kichwani.. Nawewe hivyohivyo....
 
Ikikukolea hiyo system ya kumuomba mkeo game kihivyo na ikakuingia damuni. Basi elewa kuna siku itakua umo kwenye bus unasafiri na utamuomba kondakta akuruhusu ufungue dirisha uteme mate! Ni zaidi ya uhayaONE.
 
Back
Top Bottom