Isalia JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,209 Reaction score 435 Dec 29, 2011 #1 Jamani hivi ni kweli mmo ndani ya ndoa lakini ukimtaka mkeo kimwili uanze kumtongoza kama vile hamjawahi kuonana ingawa mnalala kitanda kimoja
Jamani hivi ni kweli mmo ndani ya ndoa lakini ukimtaka mkeo kimwili uanze kumtongoza kama vile hamjawahi kuonana ingawa mnalala kitanda kimoja
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Dec 29, 2011 #2 ndio bushoke hivyo tayari
Dreamliner JF-Expert Member Joined Jan 17, 2010 Posts 2,034 Reaction score 214 Dec 29, 2011 #3 Kuna walakini hapo... Akishaolewa, anatakiwa kulala kama alivyozaliwa, wengine husema, anatakiwa kuvaa kufuli kichwani.. Nawewe hivyohivyo....
Kuna walakini hapo... Akishaolewa, anatakiwa kulala kama alivyozaliwa, wengine husema, anatakiwa kuvaa kufuli kichwani.. Nawewe hivyohivyo....
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,785 Dec 29, 2011 #4 Ikikukolea hiyo system ya kumuomba mkeo game kihivyo na ikakuingia damuni. Basi elewa kuna siku itakua umo kwenye bus unasafiri na utamuomba kondakta akuruhusu ufungue dirisha uteme mate! Ni zaidi ya uhayaONE.
Ikikukolea hiyo system ya kumuomba mkeo game kihivyo na ikakuingia damuni. Basi elewa kuna siku itakua umo kwenye bus unasafiri na utamuomba kondakta akuruhusu ufungue dirisha uteme mate! Ni zaidi ya uhayaONE.