Hii ni kweli?

Hahahaha hii inawahusu wale wanaopenda pasipopendeka
 
Hapo pana ukweli kwa wale tu wasio wakomavu kwenye makatiko.
Lakini kwa sisi mabazazi tulio shindikana, hua ndio tunakula na kunywa kwa kasi ya mwendo wa dunia. Yaani mtu akitoka, mwingine anaingia...... na mtu akisimama, mwingine anakaa.....
Basi ni fully burrrdaaaann.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…