Hii ni kwenu makolo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Tambuweni haya maandiko yanawahusu

Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa

Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza

Sina maneno mengi tukutane mwisho wa mwaka tukiwa na kombe letu la shirikisho.

Maneno yatabadirika kuwa ni kombe la waliofeli.

Mara sisi tuna cheza africa super league.

Watapanda kutoka na fasi ya 10 mpaka nafasi ya 3 bila kuwa na kombe lolote la kimataifa
, [emoji848][emoji24][emoji51][emoji1]
 
Michezo ni akili,nguvu na maarifa sio Imani....
 
Amka utajikojolea hiyo ni ndoto mbaya sana.
 
Makolo fc, nje ya kutegemea maneno ya mdomoni, na ushirikina! Si chochote! Si lolote.
 
Wahenga Bwana... Sijui Kwanini Walikuja na huu msemo 'Dua La Kuku Halimpati Mwewe'......!

Tatizo Nyie Utopolo mmejaza Wazee mule.... Sasa Mtu kama Shabani Juma na uzee ule Jumlisha Uzito ule Kweli anaweza Kumkaba mtu mwenye mbio pale anapopanda kuongeza mashambulizi.

Nyie zenu ni Kumfunga ZALANI ya Sudani na ZALANI nyingine Ya Tunisia..... Hizo zote Mlizozifunga CAF wameziandika kwa Penseli muda wowote wanaweza kuzifuta....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…