Richard Mlangi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 380
- 193
Imekuwa ni kawaida yenu vijana wa TZ kuwachukia wenzenu wanapopata mafanikio.
Ninayo mifano ya Mr Nice, Daz B n.k ambao mliwavunja nguvu na kuwakatisha tamaa hadi kupelekea frustratration walipokuwa wakihangaika kufikia ndoto zao.
Hamjaacha laana hiyo, hivi sasa mmehamia kwa Diamond.
Mnasahau kuwa Diamond amepata mafanikio si kwa njia za mkato bali kujituma, kuipenda kazi yake, kuuheshimu muziki na kuthamini mashabiki.
Hii ni laana ya umaskini wa fikra na wivu wa kivivu.