Richard Mlangi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 380
- 193
Halafu walivyo na uvivu wa kufikiri wanafikia kumlinganisha Diamond na Ali Kiba.
Are we serious ???
Ni sawa kumlinganisha Jay Z na Yosso wa magomeni.
Tuheshimu cv za watu !
Diamond ameifanyia kazi cv yake.
Kama amevuta bangi basi kaongea ukweli !!!
Unajua unaloliongea lakini ama......bangi mbaya sanaa
Wa kwanza huyu hapa.. Dah, ndo bongo.. Ukifanikiwa ndugu ndo wa kwanza kukuombea mabaya!!
Imekuwa ni kawaida yenu vijana wa TZ kuwachukia wenzenu wanapopata mafanikio.
Ninayo mifano ya Mr Nice, Daz B n.k ambao mliwavunja nguvu na kuwakatisha tamaa hadi kupelekea frustratration walipokuwa wakihangaika kufikia ndoto zao.
Hamjaacha laana hiyo, hivi sasa mmehamia kwa Diamond.
Mnasahau kuwa Diamond amepata mafanikio si kwa njia za mkato bali kujituma, kuipenda kazi yake, kuuheshimu muziki na kuthamini mashabiki.
Hii ni laana ya umaskini wa fikra na wivu wa kivivu !
Halafu walivyo na uvivu wa kufikiri wanafikia kumlinganisha Diamond na Ali Kiba.
Are we serious ???
Ni sawa kumlinganisha Jay Z na Yosso wa magomeni.
Tuheshimu cv za watu !
Diamond ameifanyia kazi cv yake.
hao wote angalia sababu za kuanguka kwao usikurupuke tu...nani asiejua mr nice alivyobweteka na kujipoteza mwenyewe!!...haya uyo daz baba kuna mtu aliemlazimisha kua teja??.,pia hata uyo diamond mimi nikimchukia ntamzuia na jirani yangu asimpende!!....kajipange mkuu usikurupuke
Kwa hiyo furaha yako ni kusikia Diamond anabwia unga, ameacha kuimba, amefulia ???
...halafu unapata nini ??????
hivii mtu kama una uwezo na juhudi chuki zitafanya nini kwako??...mmesahau kuna wanaojituma na kujielewa mpaka leo wapo njema...angalia mtu kama jide...alioanza nao wako wap??...au yeye ana undugu na hao watanzania mnaodai wanalaani.......OMG!!..poor minded
jide hana mpinzani kwa sasa ndio maana kwake ni kura za ndioooooo kama enzi zile za chama cha TANO hivyo usimlete hapa, na kama unabisha kipindi Ray C akiwa juu watu walimpambanisha sana na jide, na jide ndie aliyekuwa anazodolewa sana, kuwa hajui kukata kiuno kama ray c, mara stage perfomance poor ( tho mpaka sasa ni very poor hutaki pita pale) ray c alivyopotea tu wote mmerudi kumsifia jide kama sio UNAFIKI ni nini??? kwa kifupi watanzania we have along way to go.
Hyo yote ina reflect jinsi mawazo mgando yanavoathir vichwa vya watu mpaka wanakuwa hawana tofaut na wavuta bangi, a rich mind will never come out with such bullshit!!!