Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #21
Nawasoma kwanza ndo unaingizwa kwenye list
Mimi tenaaaa?? nimekuwa mgenii???
Eeeh kwsbb umewaacha watu wengi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi tenaaaa?? nimekuwa mgenii???
Aseeh kuleta hii nyuzi imekuwa kesi hivii
daah basi itabidi Nije na list ndefuuu.
ndiyo yeye ana bifu na ndege John.Kumbe Viatu vya Samaki ni mtu peace sijawahi kujua[emoji19]
[emoji16][emoji16]Kumbe Viatu vya Samaki ni mtu peace sijawahi kujua[emoji19]
Kuna list ya wanaokufa next week inakuja. Usihofu tutakuwekamohumu ndani sijawahi kuwa kwenye list yoyote ile
Hivi kapotelea wapi huyu mtu??