Ndugu wanajamii forum, ni mara yangu ya kwanza kuingia hapa na kuomba msaada wa kisheria.
Huyu mdogo wangu amepata kua mfanyakazi kwenye NGO kwa muda Fulani hadi pale mkataba wake ulipokwisha. Amewahi kupata pesa ya advance akiwa km mfanyakazi mpaka sasa bado hajaweza ku retire(liquidate) . Je hili kwenye macho ya sheria ni aina gani ya kosa? Na je yaweza kua madai kwamba mwajiri anamdai mtumishi? Naomba tafsiri yake!