Hii ni mbinu ya kujitetea

Naomba nikuulize maswali mawili Kama ifuatavyo Kwanza maana mpira Ni mchezo wa wazi kabisa kwa Nini yanga alipita mlango wa mashabiki kuingia uwanjani?? Pili wewe huoni yanga huwa anajituma Zaid anapokutana Na Simba??? Utafikiri kesho hachezi Tena???
Mosi,ni kukwepa uchawi wenu uliyozidi kipimo,maana hata haya hamna mnawasha moto uwanjani,pili ni kukomesha kidomodomo..maana mkimfunga yanga kelele zinakua nyingi
 
Naomba nikuulize maswali mawili Kama ifuatavyo Kwanza maana mpira Ni mchezo wa wazi kabisa kwa Nini yanga alipita mlango wa mashabiki kuingia uwanjani?? Pili wewe huoni yanga huwa anajituma Zaid anapokutana Na Simba??? Utafikiri kesho hachezi Tena???
Inawezekana unazidiwa uwezo ndio maana unaona anajituma zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukamia,kuhonga waamuzi,kuroga,na kupiga propaganda kupitia wachambuzi wa mchongo,ndiyo lengo kubwa lenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…