Hii ni mimba nini

ase

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
38
Reaction score
6
Jaman za hasubuhi?mim mzunguko wangu wa siku ni siku 34.sasa juzi umefka muda wa kuona siku zangu nashangaa niliona vidamu vidogo nikipangusa,alafu baada ya siku kama 2 vikakatika.naomba msaada wenu jamani,inaashiria nini?
 
ukiona manyoyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........hahahaaaaa
 
Sijakuelewa kakangu.toa maelekezo zaidi,
 
Nenda hospitali au kama unahisi ndo utamu ulishakolea hebu jicheki mwenyewe kwa kutumia UPT zipo nyingi tu maduka ya dawa na ni buku tu inategemea na huko uliko.
Usijali ni kawaida tu.







Kila jambo alifanyalo mwana wa Adamu hapa duniani huwa na matokeo yake,aidha chanya ama hasi ila unatakiwa ukubaliane nayo!
 
Bi dada huamini umeshacheki kama ndo tayari au huamini nini tena? Jamaa hapo juu ameshaui "Review your history".

Si unajua tena utamu wa Man to Man!

Hongera lakini,wako wenzako wanatafuta hata hizo dalili hawazioni miaka nenda rudi.
 
Nikriview my history naona inaenda sawa,asante kwa ushauri.
 
hiyo damu kiduchu vitone ilikua ni implementation bleeding! Ushanasa wewe. Ila nenda hosptali mwayego tusije kukupa presha bure!
 
hongera kama itakuwa hivyo! good news! naomba kutoa jina
 
Sio uoga jaman.nimeolewa kabisa ila ni furaha tu coz mamkwe na mawifi walishaanza kunisumbua.
 
Sio uoga jaman.nimeolewa kabisa ila ni furaha tu coz mamkwe na mawifi walishaanza kunisumbua.
duh pole sana kwa gubu za wifi na mama mkwe , lakini kwa maelezo yako utakuwa umenasa hongera sana.
 
Happy X-mass, New Year na Mapinduzi Day Hizi sherehe hazijadanganya kwako.

Play the LORD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…