Hii ni Miradi/Biashara inayoweza kukufanya Ulale Maskini Uamke tajiri. Wengi wameshagundua

Hii ni Miradi/Biashara inayoweza kukufanya Ulale Maskini Uamke tajiri. Wengi wameshagundua

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
nlikuwa naongea na rafiki yangu uledi huyu ana watoto 5 kwa mke mmoja na wengine 3 kwa mke mwingine. Uledi analalamika maisha ni magumu haoni kitu cha kufanya. nlishtuka kidogo nikawaza na kuamua kukaa kitako maana muda huo tunaongea tulikuwa tumekutana njiani basi nikamwambia kuna bar pale pembeni tukae kitako angaa tunywe "MAJI" nikasisitiza MAJI au SODA

Namjua jamaa yangu hachelewi kuagiza maji ya mende wakati mimi nimesema "MAJI" yaani mma. basi tukakaa na waiter akaja akauliza atusaidie nini kabla Uledi hajajibu nikamwambia atuletee Maji Makubwa na Glass mbili. hata mhudumu nadhan hakufurahishwa na ile Order..nikajisemea "to hell" Uledi alifinya uso kidogo akaongezea basi iletwe na Pepsi Bariiiiiidi. yule Mhudumu aliyekuja akitikisa makalio yake akaondoka ameyakaza.

nikamuuliza uledi " mkuu watoto hawajambo "
ULEDI: Kwa kweli hawajambo wanaendelea vizuri na mama zao"
MIMI: vizuri, unategemea kuongeza wengine? nlimwuliza huku nimeinamisha kichwa nnamtimzama kupitia frame ya miwani yangu ya jua.
ULEDI: aaah kaka kwa kweli hapa panatosha nshagundua hii dunia siwezi ijaza peke yangu ..." akacheka kiasi.
MIMI: hapo hapo ndo nilitaka tushauriane.. Uledi kwa sasa life imekuwa tight kila sehemu... hivi ndugu yangu unalalamika maisha magumu na mtaji unao unauning'iniza tu hivi proudly badala ya kuufanyia kazi why?"
hapo Uledi akashtuka kidogo na kunitizama akinikodolea macho

ULEDI: aiseee hebu nambie haya ndo mambo ya kuongea na ninyi wasomi..umeshaona fursa ambayo mimi miaka yooote hiii sijaiona... aaah ndugu yangu nipe deal mwanangu nikasake mahela"
MIMI: Uledi una Mapumbu mawili ya nini ndugu yangu? eeeeh.. yanakusaidia nini kwa sasa tayari una watoto saba. umesema huna mpango wa kuongeza.. kwa nini usiuze hata pumbu moja kuna watu wanahitaji sana hayo makitu. wewe unaona faida gani tu kuyaning'iniza hapo kiunoni as if ni kitu cha kujivunia sana? nakumbuka walikuwa wanakutania sana "mapumbu mzigo" uza hilo moja kwa wenye uhitaji upate pesa upige mtaji.
sikutaka kumpa nafasi Uledi ajibu hoja au anambie ushauri wangu anauonaje nikaendelea
" huvuti sigara,... figo zako na mapafu vitakuwa vipo okey kabisa.. una figo mbili za nini kwa wewe? umri wako umeshaelekea alasiri... uza figo hata moja au moja na nusu upate mamilion ufanye maisha. Uledi una mapafu mawili nayo ni mtaji ndugu yangu kwa nini usiuze? unakaa kulalamika kuwa maisha magumu kwa nini ujitese? kuna haja gani kuwa kwa ngoma na mapumbu yako mawili yanabembea tu? au kufa kwa njaa na mapumbu yako mawili yapo tu hayana kazi? una faida gani kuishi na figo zote mbili kwa muda mfupi ukafa kwa presha?

ULEDI alinitizama huku amefinyanga sura yake..... akanikazia macho makali akanitizama sana na mwishowe akatabasamu.
aligundua
1. kuwa na mapumbu mawili huna pesa unajibebesha mzigo wa bure tu
2. kuwa na figo mbili huna pesa ni uchoyo kwa wenye pesa na wana matatizo ya figo wape wale maisha nawe ule kiasi
3.una mapafu mzima wa afya ila huna pesa mfukoni wenzio wana pesa mapafu hayako okey we unang'ang'ania ili kuwaringishia ili iweje? wauzie mgawane kila mtu aenjoy maisha. siyo unakuja JF unataka wanawake wakupende kama ulivyo we mama yao?

kwa wadada.. umeshazaa umeacha kuzaa. una two boobs za nini? unaacha mijama ije tu kunyonya boobs zako halafu inakuachia wekundu watano wa msimbazi au sometime wanakuuzia tu chai wananyonya boobs zako wanakula mzigo wanaondoka... unataka ukizeeka uwe unasimulia "haya matikiti maji yangu yaliwatesa sana wanaume... " ooh mimi mama yenu nlikuwa saa sita miaka hiyo chuchu konzi" inakusaidia nini.... jamaa unaaacha wanakula wanaondoka....unabaki na umaskini wako... halafu unakuja JF kulia lia "ooohhh wanaume wabaya, wanaume siku hizi hakuna..." wakati ungeweza kuuza boob moja ukapata cha kwako ukaweka bandia ukawa unajilia pesa zako bila masimango.

una makalio makuuuuubwa unajisikia raha tu kuyatingisha.. why? raha yake nini sasa? kuna watu wanahitajika waongezewe nyama si ungeenda kuyapunguza ukauza hizo nyama wakabandikiwa ukajipatia pesa yako maisha yakaendelea bila manyanyaso? amkeni anzeni kuwaza kibiashara biashara, wazeni kwa fursa

MWENYE KUUZA MOYO apate pesa za kulia maisha tuwasiliane kuna mtu anahitaji moyo ambao haujawah kujeruhiwa.
 
Nashangaa kichwa unacho na watu wanashida ya ubongo
 
Upuuuzi.... Labda kwasababu shida hazijanifika shingoni nitafikiria ushauri wako maisha yakinipiga teke sana.

Nina njia nyingi za kutafuta mapene lkn hiyo bado sijawahi kuiiwazia
 
Mkuu GuDume nakuona unavyowarusha roho wanaJF. Mm nadhani kabla ya kumpa ushauri rafiki yako ulipaswa kuwa umeuza hizo pumbu zako badala ya kuzining'iniza tu bila faida yoyote wakati ulishamaliza kazi ya kuijaza dunia.
 
Ingekua mimi ndo unanipa huo ushauri hakyanani kutoka pale ungekuja zinduka uko Amana au Muhimbili kabisa
 
Back
Top Bottom