hii ni moja ya biashara yenye faida ndogo mno

Ila kuna mwenye duka aliyetoboa. Inategemea na wateja, bila kusahau bidhaa za magendo.
uko sawa boss ukiwa bidhaa ya magendo na ukawa na wateja wako wa uhakika unatoboa chapu. Kuna moja caton nanunua mil 1.9. Naweza kukimbiza hata caton 3 kwa mwezi hapo uhakika wa faida 1mil ni chapu halafu kwa bidhaa moja tu. Ila inatakiwa uishi vzuri na wakubwa waliokuzunguka mazingira hayo
 
Bidhaa gani hiz magendo kwa duka
 
Kuna mwamba aliniambia duka chini .Kwa maana yale manafaka na kama uko freesh ukazungusha na miamala mumo kwa mumo ,ila yale mapambo yaliyobakia kwenye shelf ni biashara kichaa.
 
Back
Top Bottom