Hii ni moja ya haki ya Mtumishi wa Umma?

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Naomba maelezo kutoka kwa Maafisa utumishi wa taasisi mbalimbali za Umma/Serikali.

Ni haki yake Mtumishi wa umma kulipwa fedha ya Nauli wakati anapothibitishwa kazini kulingana na umbali(kilomita) kutoka nyumbani kwake hadi kituo chake cha kazi, wategemezi wake n.k?
 
Naomba maelezo kutoka kwa Maafisa utumishi wa taasisi mbalimbali za Umma/Serikali,
Ni haki yake Mtumishi wa umma kulipwa fedha ya Nauli wakati anapothibitishwa kazini kulingana na umbali(kilomita) kutoka nyumbani kwake hadi kituo chake cha kazi, wategemezi wake n.k..?
Pole mkuu, hebu tulia kiongozi uandike hoja yako kwa utulivu ili ueleweke vema.

Nimeshindwa kuelewa hoja yako inahusu nauli ya likizo pamoja na wategemezi wako au haukulipwa nauli wakati unaripoti kituo chako kipya cha kazi?.
 
Hio kwenye public service act ni standing order ukipitia kipengele L utaikuta kwenye allowance
 
Ila mkuu unaonekana ni kichwa ngumu😂😂.

Iko hivi;
hapa sizungumzii fedha ya kujikimu baada tu ya kuajiriwa bali nazungumzia fedha za malipo baada ya kuthibitishwa kazini(Yaan baada ya KUMALIZA mwaka mmoja wa matazamio(Probation) ni haki ya Mtumishi wa umma kulipwa pesa ya gharama za Nauli kulingana na umbali kutoka nyumbani kwake hadi kazini kwake, bila kusahau gharama zitaambatana na wategemezi wake alionao kama Mke na watoto.?

BUT, karibu naamini umenielewa na utakuwa na maelezo au uzoefu wa kunijuza hapa🙏
 
Pole mkuu, hebu tulia kiongozi uandike hoja yako kwa utulivu ili ueleweke vema.

Nimeshindwa kuelewa hoja yako inahusu nauli ya likizo pamoja na wategemezi wako au haukulipwa nauli wakati unaripoti kituo chako kipya cha kazi?.
@Clark boots [emoji115]Eleweka kwanza hapo.
1.Nauli ya likizo
2.Nauli ya kwenda na kurudi kazini?
3.Nauli ya kuripoti kazini kwa ajira mpya kwa mara ya kwanza?

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Hapa sizungumzii fedha ya kujikimu, likizo baada tu ya kuajiriwa bali nazungumzia fedha za malipo baada ya kuthibitishwa kazini(Yaan baada ya KUMALIZA mwaka mmoja wa matazamio(Probation)) ni haki ya Mtumishi wa umma kulipwa pesa ya gharama za Nauli kulingana na umbali kutoka nyumbani kwake hadi kazini kwake, bila kusahau gharama zitaambatana na wategemezi wake alionao kama Mke na watoto..?
 
Asante Mtaalam, kama utakuwa hata na screenshot ya hicho kipengele basi NAOMBA uniwekee hapa ili nikisome vizuri... Nimejaribu kupakuwa Pubic service act kibao Ila nimeshindwa kukipata hicho kipengele
Asante sana mkuu🙏
Hio kwenye public service act ni standing order ukipitia kipengele L utaikuta kwenye allowance
 
Hapa sizungumzii fedha ya kujikimu, likizo baada tu ya kuajiriwa bali nazungumzia fedha za malipo baada ya kuthibitishwa kazini(Yaan baada ya KUMALIZA mwaka mmoja wa matazamio(Probation)) ni haki ya Mtumishi wa umma kulipwa pesa ya gharama za Nauli kulingana na umbali kutoka nyumbani kwake hadi kazini kwake, bila kusahau gharama zitaambatana na wategemezi wake alionao kama Mke na watoto..?
hii ndio nasikia kwako nachojua nauli inalipwa kwenye ile hela ya kujikimu na Ukianza kwenda Likizo.
Icho unachokiongelea labda wadau wenye ujuzi waje
 
Hapa sizungumzii fedha ya kujikimu, likizo baada tu ya kuajiriwa bali nazungumzia fedha za malipo baada ya kuthibitishwa kazini(Yaan baada ya KUMALIZA mwaka mmoja wa matazamio(Probation)) ni haki ya Mtumishi wa umma kulipwa pesa ya gharama za Nauli kulingana na umbali kutoka nyumbani kwake hadi kazini kwake, bila kusahau gharama zitaambatana na wategemezi wake alionao kama Mke na watoto..?
Yaaanii unachokiuliza hata hakielewekii ni Nini??
 
Labda angeondoa kipengele "kuthibitishwa kazini" maana hii haihusiani na malipo yoyote. Unaweza kuthibitshwa kazini baad ya miezi sita au mwaka wakati malipo yamekwishafanyika kwa mwajiriwa mpya.
 
Daaah labda wajuzi waje ila sijawahi sikia hilo,kinacholipwa ni pesa ya kujikimu ajira mpya na nauli toka kwenu mpaka kituo chako cha kazi unapoenda kuripoti na pia nauli za likizo

Back
Top Bottom