Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Pole mkuu, hebu tulia kiongozi uandike hoja yako kwa utulivu ili ueleweke vema.Naomba maelezo kutoka kwa Maafisa utumishi wa taasisi mbalimbali za Umma/Serikali,
Ni haki yake Mtumishi wa umma kulipwa fedha ya Nauli wakati anapothibitishwa kazini kulingana na umbali(kilomita) kutoka nyumbani kwake hadi kituo chake cha kazi, wategemezi wake n.k..?
Hio kwenye public service act ni standing order ukipitia kipengele L utaikuta kwenye allowanceNaomba maelezo kutoka kwa Maafisa utumishi wa taasisi mbalimbali za Umma/Serikali,
Ni haki yake Mtumishi wa umma kulipwa fedha ya Nauli wakati anapothibitishwa kazini kulingana na umbali(kilomita) kutoka nyumbani kwake hadi kituo chake cha kazi, wategemezi wake n.k..?
Ila mkuu unaonekana ni kichwa ngumu😂😂.Pole mkuu, hebu tulia kiongozi uandike hoja yako kwa utulivu ili ueleweke vema.
Nimeshindwa kuelewa hoja yako inahusu nauli ya likizo pamoja na wategemezi wako au haukulipwa nauli wakati unaripoti kituo chako kipya cha kazi?.
@Clark boots [emoji115]Eleweka kwanza hapo.Pole mkuu, hebu tulia kiongozi uandike hoja yako kwa utulivu ili ueleweke vema.
Nimeshindwa kuelewa hoja yako inahusu nauli ya likizo pamoja na wategemezi wako au haukulipwa nauli wakati unaripoti kituo chako kipya cha kazi?.
Kwa estimation inaweza kuchukuwa mwaka mzima mpaka kuja kulipwa,,,Wanalipa ila wanachelewa.
Hapa sizungumzii fedha ya kujikimu, likizo baada tu ya kuajiriwa bali nazungumzia fedha za malipo baada ya kuthibitishwa kazini(Yaan baada ya KUMALIZA mwaka mmoja wa matazamio(Probation)) ni haki ya Mtumishi wa umma kulipwa pesa ya gharama za Nauli kulingana na umbali kutoka nyumbani kwake hadi kazini kwake, bila kusahau gharama zitaambatana na wategemezi wake alionao kama Mke na watoto..?@Clark boots [emoji115]Eleweka kwanza hapo.
1.Nauli ya likizo
2.Nauli ya kwenda na kurudi kazini?
3.Nauli ya kuripoti kazini kwa ajira mpya kwa mara ya kwanza?
Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
Hio kwenye public service act ni standing order ukipitia kipengele L utaikuta kwenye allowance
hii ndio nasikia kwako nachojua nauli inalipwa kwenye ile hela ya kujikimu na Ukianza kwenda Likizo.Hapa sizungumzii fedha ya kujikimu, likizo baada tu ya kuajiriwa bali nazungumzia fedha za malipo baada ya kuthibitishwa kazini(Yaan baada ya KUMALIZA mwaka mmoja wa matazamio(Probation)) ni haki ya Mtumishi wa umma kulipwa pesa ya gharama za Nauli kulingana na umbali kutoka nyumbani kwake hadi kazini kwake, bila kusahau gharama zitaambatana na wategemezi wake alionao kama Mke na watoto..?
Yaaanii unachokiuliza hata hakielewekii ni Nini??Hapa sizungumzii fedha ya kujikimu, likizo baada tu ya kuajiriwa bali nazungumzia fedha za malipo baada ya kuthibitishwa kazini(Yaan baada ya KUMALIZA mwaka mmoja wa matazamio(Probation)) ni haki ya Mtumishi wa umma kulipwa pesa ya gharama za Nauli kulingana na umbali kutoka nyumbani kwake hadi kazini kwake, bila kusahau gharama zitaambatana na wategemezi wake alionao kama Mke na watoto..?
Serous!!! Hajaeleweka bado.Yaaanii unachokiuliza hata hakielewekii ni Nini??
Hapa sizungumzii fedha ya kujikimu, likizo baada tu ya kuajiriwa bali nazungumzia fedha za malipo baada ya kuthibitishwa kazini(Yaan baada ya KUMALIZA mwaka mmoja wa matazamio(Probation)) ni haki ya Mtumishi wa umma kulipwa pesa ya gharama za Nauli kulingana na umbali kutoka nyumbani kwake hadi kazini kwake, bila kusahau gharama zitaambatana na wategemezi wake alionao kama Mke na watoto..?