Ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye alikuwa anivutii ila yeye alionekana kuvutiwa nami ilikuwa nikiongea naye kikazi 'ballistic missile' yangu inaanza kushika kasi ya kuinuka lakini hali hii ilikuwa haitokei kwa wengine. Situation hii imechukua muda kidogo kiasi kwamba nikaamua kuwa nam-avoid huyo mwanadada. Ila baadaye ikawa hali hiyo imekwisha kabisa. Sasa najiuliza hiyo ilikuwa ni natural au ndumba!!!

Ungekuwa unafanya kazi hapa ninapofanya mimi, bila shaka hiyo Ballistic Missile yako ingekuwa imefungwa POP.......

BWamdogo ukiwa ofisini fanya kazi! Nchi yetu ina baki nyuma si kwasababu ya ccm tu, bali pia productivity kushuka kutokana na blah blah mingi kwa ofisi.
ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye alikuwa anivutii ila yeye alionekana kuvutiwa nami ilikuwa nikiongea naye kikazi 'ballistic missile' yangu inaanza kushika kasi ya kuinuka lakini hali hii ilikuwa haitokei kwa wengine. Situation hii imechukua muda kidogo kiasi kwamba nikaamua kuwa nam-avoid huyo mwanadada. Ila baadaye ikawa hali hiyo imekwisha kabisa. Sasa najiuliza hiyo ilikuwa ni natural au ndumba!!!
Ungekuwa unafanya kazi hapa ninapofanya mimi, bila shaka hiyo Ballistic Missile yako ingekuwa imefungwa POP.......
Mwezenu mie nishazoea kujionea viroja mpaka sasa nikiona mwanamke kakaa utupu naona ni ya kawaida tu.........Duh.., mkuu hebu nipe deal nami nije huko maana nahitaji kwenda likizo kidogo
Ha haaa Mkuu itabidi unipe ka mwaliko japo ziara fupi ya nusu saa nisuuze roho yangu hapo kwenu.