Hii ni natural au ndumba!

BWamdogo ukiwa ofisini fanya kazi! Nchi yetu ina baki nyuma si kwasababu ya ccm tu, bali pia productivity kushuka kutokana na blah blah mingi kwa ofisi.

PakaJimmy bora umemwambia ukweli. Dogo anawaza ngono tu halafu baadae atashangaa kwanini mambo hayaendi anavyotaka
 

Mwili unataka lakini nafsi inakataa....hilo ndio jawabu ya neno TAMAA au KUTAMANI
 

hahahahahaaaaaa.., mkuu hujatulia wewe..!
 
hivi ofsini kuna watu wanawaza mapenzi?..loh mbona dunia kubwa? mimi mapenzi na kazi yangu ni mbalimbali...sitokaa nijaribu hata kumwangalia mwanaume hapa...
hajatokea bado wa kukuvuitia hua haina simile hii yaani inakuja tu naturally unamzimikia mkaka wa ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…