Wana JF, Kwa nini mwanaume akiwa na wanawake wawili au watatu anaishi nao kinyumba si tatizo, lakini mwanamke akiishi na wanaume wawili kinyumba ni tatizo kubwa?
Katizaji karibu..Tatizo lipo ila kwa mfumo tuliojiwekea tunalihalalisha na kua sio tatizo...mara nyingi tunashuhudia wanaume tukijitukuza kwa ufahari wa kutoa wake za watu out wakati tukiwaona wale wanaotoka na wake zao wamekaliwa ama kulishwa limbwata...kwa maisha ya sasa,magonjwa na maradhi tuliyonayo alafu kusimama pahala na kujipiga piga kifua kua unaona ufahari kuishi kinyumba na wanawake wengi si akili za kawaida...nionavyo hata huyo mmoja kuliko awe tiketi yako kuelekea ahera mapema au wewe kuwa sababisho ni heri kutokua nae kabisa!
Yah! This is nature, kwanza jiulize ni kwa nini mungu anasadikika kuwa mwanaume? Kwa nini mungu alimuumba adamu kisha akasema yeye ndo mtawala wa eva? Kwa nini mungu alimtuma Yesu/mtume Mohamad na hawa wote ni wanaume? Mfumo dume ulipsha kuwepo so tukubaliane mao tu.
mwanamme ni ready machine haihitaji kujiuliza ndo maana sometime unapiga bao kwa sabuni tu, au papai unalitoboa matakoni unalipa kitu, kama wanatusemasema cc tuna mibadala mingi mbona watakoma kuringa waambieni waache kujiremba basi.