Hii ni ndoto ya kila mwanaume,unabisha?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari za usiku, leo nitazileta mbele yenu ndoto zetu sisi wanaume.Ndoto zipo katika mtindo wa picha.Katika kukuwa kwetu wanaume wengi pamoja na mimi tulikuwa na ndoto za kimiliki vimwali samples hizi ila daaah basi tu......(in huzuni voice)
Kama sijaweka wa ndoto yako ruksa kuweka lakini 99% hatuchomoki hizi zilikuwa ndoto zetu
 
Big NO !!! Ndoto ya kila mwanamume ni kuwa na mke KAMA mama yake. Mbaya zaidi huwa haitimii kwani hakuna mwanamke kama mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…