Hii ni ndoto ya kila mwanaume,unabisha?

Sijawaona wale V-model (Ma miss) wote hawa naona ni Nyama tu zinawabeba...
 
😡 ghhhraaaaha nimekuja speed nikajua nakuta mandiga na bike za ukwelii kumbe ni hiii ok basi saawa nayo pia ni ndoto !!!
 
Majukumu yameanza kunibana nikiwa mdogo sana,zaidi ya kuwaza namna ya kumtunza Bimkubwa nilifikiria kuendeleza uzazi wa mzee wangu marehemu na nilipokuwa na familia nikawa tena na wazo la kupata makazi yao hivyo nikawa na mambo mengi zaidi ya kufanya so{ukweli ninaoujua mimi}sijawahi ktk akili yangu kukaa nikawaza haya,japo sometimes wanakatiza ila wakinipa mgongo nasahau nawaza mengine.majukumu wakati mwengine yanamfanya mtu apitwe na vitu vingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…