*Halima*: Tumbo linaniuma sana toka jana
*Daktari*: Pole, utapona ulikula nini jana? kabla ya tumbo kuaza kuuma?
*Halima*: Pizza, keki, nyama choma na juisi
*Daktari*; Tafadhali sema Ukweli hapa ni Hospitalini sio *Instagram au facebook.*
*Halima*: maparachichi na ugali maharage.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Soma jina la jukwaaHadithi inakufundisha nini dogo?