Nipo na demu wangu hii sasa mara ya pili kutokea! tukiwa 6x6 twacheza cheza jamaa anakuwa kadumu ile mbaya, nikitaka kuogelea jamaa anasinyaa ghafla!!! mwanzoni jamaa alikuwa anadumu toka tu demu anavua hadi tunamaliza mchezo na mara ingine baada ya muda si mrefu anadumu tena na hii si muda mrefu ni kama miezi 6 ilopita. Hali hii inanifanya nijisikie vibaya sana na kuwa mdogo sana! naomba mnaojua sbb mniokolee uhusiano wangu jamani.NIFANYEJE NIWEZE MAINTAIN??
una mawazo yoyote? au kuna kitu kinakusumbua akilini mwako?....check that first
Loh! Pole sana aisee
Oyaa kura umepiga lakini?
Siwezi sema nina mawazo! mara ya kwanza ilinitokea tukiwa tumekwenda safari kidogo na pia tulielekea ufukweni tukacheza sana kisha jioni ikatokea hali hii na kwa juzi kidogo tulipishana kauli lakini ilikuwa asubuhi na hadi muda twakutana ilikuwa ni late evening. Cha ajabu ni kuwa jamaa anadumu sana tu! ila ndiyo hivyo ikikaribia kuzama tu anasinyaa na hata nijitahidi vuta hisia sifanikiwi! nashukuru kwa ushauri mkuu
Nipo na demu wangu hii sasa mara ya pili kutokea! tukiwa 6x6 twacheza cheza jamaa anakuwa kadumu ile mbaya, nikitaka kuogelea jamaa anasinyaa ghafla!!! mwanzoni jamaa alikuwa anadumu toka tu demu anavua hadi tunamaliza mchezo na mara ingine baada ya muda si mrefu anadumu tena na hii si muda mrefu ni kama miezi 6 ilopita. Hali hii inanifanya nijisikie vibaya sana na kuwa mdogo sana! naomba mnaojua sbb mniokolee uhusiano wangu jamani.NIFANYEJE NIWEZE MAINTAIN??
kama si kawaida yako lazima kuna tatizo....umeshacheki na daktari?
ukiwa unafikiria maisha ngono huwa haipandi, tafuta pesa mkuu
Hapana bado sijamcheki daktari mkuu, ntajitahidi nikamuone soon! lakini hivi ni kweli ukiwa na mawazo au kitu kinakusumbua hii hali ikakutokea kihivyo?? nilidhani labda isingewezekana kabisa hata kudumu!!!
Acha ulevi
Acha kula machips mayai
kura karanga, samaki, matunda, mihogo, kunywa maziwa.
mara nyingi sana kama akili haijatulia hili huwa linatokea, hata kwa wanawake is the same.....katika utendaji wa tendo hilo inatakiwa mawazo yawe hapo, zaidi ya hapo ni matatizo
1.INAONYESHA MAPENZI YAMEPUNGUA KWAKE.Nipo na demu wangu hii sasa mara ya pili kutokea! tukiwa 6x6 twacheza cheza jamaa anakuwa kadumu ile mbaya, nikitaka kuogelea jamaa anasinyaa ghafla!!! mwanzoni jamaa alikuwa anadumu toka tu demu anavua hadi tunamaliza mchezo na mara ingine baada ya muda si mrefu anadumu tena na hii si muda mrefu ni kama miezi 6 ilopita. Hali hii inanifanya nijisikie vibaya sana na kuwa mdogo sana! naomba mnaojua sbb mniokolee uhusiano wangu jamani.NIFANYEJE NIWEZE MAINTAIN??
Nashukuru mkuu, kwingine kote nimekuelewa ila penye red umeniacha gizani?? unamaanisha nini??1.INAONYESHA MAPENZI YAMEPUNGUA KWAKE.
2.MUULIZE VIZURI JE NI MKE WA MTU?
3.KABLA YA MECHI PUMNZIKA,MAZOEZI, KAZI NGUMU PUNGUZA.
4.USISAHAU KUTUMIA ILE SEX DIET
5. ASUBUHI PIGA CHAI YA UHAKIKA,MCHANA SHIBA SANA JIONI PIA SHINDILIA KIUHAKIKA..POTELEA MBALI UVIMBIWE,JIONI UKIINGIA ULINGOZI UTASHINDWA KUMTULIZA.....ABDALA KICHWA WAZI
6.MALARIA,PRESSURE......HUSABABISHA HAYO,YULE JAMAA HUWA ANAJAA DAMU ZAIDI KULIKO INAVYOPUNGUA...KWA AJILI HIYO,KUKIWA NA MATATIZO YA USUKUMAJI WA DAMU.........ATALALA GHAFLA
7.UNAMUAMINI SHEM? MCHEKI KICHWANI KAMA AMEWEKA PINI......UTAKESHA.
8.Naaaaa aaah yanatosha hayo...NILIKUWEPO.
hujaelewa nini? .......ok.iache hiyo point,usije ukalikoroga, nitaku pm nikipata muda.nashukuru mkuu, kwingine kote nimekuelewa ila penye red umeniacha gizani?? Unamaanisha nini??
hujaelewa nini? .......ok.iache hiyo point,usije ukalikoroga, nitaku pm nikipata muda.
Misosi inaonekana kimwili uko na demu wako lakini kihisia haupo... wala usione kuwa unatatizo, wewe kwa kipindi hicho chana na hilo wazo la ku do, mwili na akili yako ikitaka utadumu zaidi na mwenzio atafurahi.. kinachotokea hapo ni wewe na yeye kuanza kujitia wasi wasi na kuleta tabu kwenye uhusioano wenu.. mwambie tu hujisikii .Siwezi sema nina mawazo! mara ya kwanza ilinitokea tukiwa tumekwenda safari kidogo na pia tulielekea ufukweni tukacheza sana kisha jioni ikatokea hali hii na kwa juzi kidogo tulipishana kauli lakini ilikuwa asubuhi na hadi muda twakutana ilikuwa ni late evening. Cha ajabu ni kuwa jamaa anadumu sana tu! ila ndiyo hivyo ikikaribia kuzama tu anasinyaa na hata nijitahidi vuta hisia sifanikiwi! nashukuru kwa ushauri mkuu