hii ni njia mmbadala ya kupata GPA kali kama msuli ukikushinda

Hii ni kuweka povu kwenye tiles then unateleza juu...
 
huyu mtu tunampenda sana..na sisi tunapenda sana kumwita KILAZA au DEKI AMBAYO HAINA CD!! huyu anafaulu kwa kutoa kushoto kupeka kulia kulia kupeleka kushoto kwa lugha rahisi ameteleza kwenye tiles,au kamwaga povu au sabuni kwenye tiles na akateleza au amekanyaga ganda la ndizi...HUYU TUNAMWITA KILAZA....na anatia hasara nchi kwa kuchukua mkopo afu anakopi na kupesti!!!!!
 
HIYO NOMA,acha kutufundisha kukopi.ila nilitegemea utaelekeza mbinu za ukweli na uhalali
 
Anakuonesha hali halisi, wewe chagua njia bora ya kufuata baada ya kutafakari kwa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…