Hii ni nn??

Hii ni nn??

leoniamahela

Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
12
Reaction score
4
Habari zenu!! Mm ni binti nina 24 yrs nina tatizo la kusumbuliwa sana na tumbo wakati wa siku zangu nina mzunguko wa siku 28 na natoka damu siku 5 na siku zote hizo tumbo linaniuma balaa yaan hadi miguuni je dawa yake ni nn??
 
Back
Top Bottom