leoniamahela Member Joined Nov 18, 2013 Posts 12 Reaction score 4 Nov 25, 2013 #1 Habari zenu!! Mm ni binti nina 24 yrs nina tatizo la kusumbuliwa sana na tumbo wakati wa siku zangu nina mzunguko wa siku 28 na natoka damu siku 5 na siku zote hizo tumbo linaniuma balaa yaan hadi miguuni je dawa yake ni nn??
Habari zenu!! Mm ni binti nina 24 yrs nina tatizo la kusumbuliwa sana na tumbo wakati wa siku zangu nina mzunguko wa siku 28 na natoka damu siku 5 na siku zote hizo tumbo linaniuma balaa yaan hadi miguuni je dawa yake ni nn??