IrDA JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 745 Reaction score 359 Feb 29, 2012 #1 Mmeisikia habari hii,mimi nimeisikia leo redioni nikaona niwape wale ambao hawajaisikia.JAMAA KAFYEKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI,KISA KUGOMBANIWA NA WANAWAKE WAWILI
Mmeisikia habari hii,mimi nimeisikia leo redioni nikaona niwape wale ambao hawajaisikia.JAMAA KAFYEKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI,KISA KUGOMBANIWA NA WANAWAKE WAWILI
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Feb 29, 2012 #2 Duuuh hiyo kweli noma
Mamzalendo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,670 Reaction score 558 Feb 29, 2012 #3 Du hongera zake,hasira hasara,sasa ataona cha moto kwa kukataa kufikiri zaidi ya pua yake,
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Feb 29, 2012 #4 Atakuwa mkristo huyo! Bible inasema jicho lako likikupotosha ling'oe ulitupe. Ubarikiwe sana baba.
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Feb 29, 2012 #5 Bora atapumzika.
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Feb 29, 2012 #6 Duh! ana roho ngumu huyo sasa waungwana ile sehemu inabakiaje bila vitendea kazi vyake?
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Feb 29, 2012 #7 itabidi ahamie buzz ni bomba!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Feb 29, 2012 #9 King'asti said: Atakuwa mkristo huyo! Bible inasema jicho lako likikupotosha ling'oe ulitupe. Ubarikiwe sana baba. Click to expand... jamaa lazima mungu kamgongea like kwa kitendo alichokifanya..
King'asti said: Atakuwa mkristo huyo! Bible inasema jicho lako likikupotosha ling'oe ulitupe. Ubarikiwe sana baba. Click to expand... jamaa lazima mungu kamgongea like kwa kitendo alichokifanya..
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Feb 29, 2012 #10 arabianfalcon said: Duh! ana roho ngumu huyo sasa waungwana ile sehemu inabakiaje bila vitendea kazi vyake? Click to expand... itawekewa nyama ilipazibe..
arabianfalcon said: Duh! ana roho ngumu huyo sasa waungwana ile sehemu inabakiaje bila vitendea kazi vyake? Click to expand... itawekewa nyama ilipazibe..
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Feb 29, 2012 #11 Mfano wa kuigwa!