Hii ni Off show au itaendelea kudumu?

Hii ni Off show au itaendelea kudumu?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Wale wa kwenye ndege wanabeba mabegi makubwa na hawa wababeba madogo kama haya.

Swali hii show itadumu au ni kwa ajili ya kupigia picha.

20240422_090646.jpg
 
Tafuta hela, hutaweka umakini kwenye maisha ya watu.
Leo umekurupuka kureply?.

Hii issue utakuwa hata huijui ni kitu gani that's why umeandika dust.

Kama ulikuwa hujui ni hivi, hao pichani ni wahudumu wa treni ya sgr, iliyofanya jaribio la kwenda Dodoma.
 
Tafuta hela Kaka, nasisitiza
 
Naomba nipatiwe ratiba za io treni nianze kujichanga hao wahudumu sio poaa mazee
 
Leo umekurupuka kureply?.

Hii issue utakuwa hata huijui ni kitu gani that's why umeandika dust.

Kama ulikuwa hujui ni hivi, hao pichani ni wahudumu wa treni ya sgr, iliyofanya jaribio la kwenda Dodoma.
Unapoteza muda kumjibu mpumbavu....
 
Wale wa kwenye ndege wanabeba mabegi makubwa na hawa wababeba madogo kama haya.

Swali hii show itadumu au ni kwa ajili ya kupigia picha.

View attachment 2970753
Hawa mabinti wanakwenda Dodoma na Dodoma wakati huu wapo wabunge na hata hivyo sijui kama mwenzangu unajua ajira zao walizipataje, kila nikiangalia naona kajina kaliko huko Dodoma kananing'inia juu ya vichwa vyao, watapokelewa.
 
Back
Top Bottom