Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
Simtishi mtu nampa ushauri kijana asijejiingiza kwenye matatizo maana mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo kisheriaq anajulikana na si mtu mwingine.
Kuongoza Tanzania 2010-2015 kura yako utampa nani?
Willibrod Slaa - CHADEMA (1544) 69.5%
Jakaya Mrisho Kikwete - CCM (568) 25.6%
Ibrahim Lipumba - CUF (95) 4.3%
Mutamwega Mugahywa - TLP (8) 0.4%
Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi (6) 0.3%
Number of Voters
: 2221
First Vote
: Tuesday, 12 October 2010 11:18
Last Vote
: Friday, 15 October 2010 09:59
Source: Kuongoza Tanzania 2010-2015 kura yako utampa nani?
Hata usipompigia atashinda tu kura yako sidhani kama inaweza kubadilisha kitu maana hata 1995 haikubalisha kitu.
And what pray tell,Is so special about Kikwete that makes you so confident?Kuchagua ni haki ya mtu hakuna sehemu inayosema nimchague nani sote tutapiga kelele ila siku ya mwisho ndio tutakayofanya maamuzi. Na mimi binafsi napenda mabadiliko ila kuna vitu vinanikera huku kwenye wanaopenda mabadiliko hakukubali ukweli! wao wanataka kudanganyana ili wapate thanks! mie sihitaji thanks za mtu na nina amini labda viti vya ubunge wapinzani na si chadema pekee kwani wao sio chama cha upinzani peke yao> Upinzani watapata viti vingi safari hii na hiyo itakuwa ni a step ahead sipendi nijidanganye kuwa eti upinzani utashinda viti vyote vya ubunge au asilimia 70 na urais watapata kuongoza nchi! Nakumbuka Zitto alisisitiza pale kibaha maili moja tuchague wabunge wengi wa upinzani ili tuwe na sauti bungeni. Wenye akili mgando walimbeza ila wenye akili timamu wanajua upinzani where they stand! Zitto anajua Slaa kushinda ni ndoto za mchana!
Hili ni tatizo watu kuwa na access ya internet wakati weledi zero. Mtoa maoni amesema picha halisi ya matokea unaanza kusema asiingie kwenye matatizo. Tuwe objective. Vipi REDET na SYNOVET? Ulisahau kuwaonya kuwa wataingia matatizoni?
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.
Simtishi mtu nampa ushauri kijana asijejiingiza kwenye matatizo maana mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo kisheriaq anajulikana na si mtu mwingine.
Mwananchi ni chombo cha habari chenye heshima kubwa hapa nchini unapinga tuu kwa sababu sio majibu ya synovate au redet mwananchi linasambazwa karibu nchi nzima ambako mitandao imeenea mpaka vijijini wewe na upumbavu wako unataka kutuaminisha kwamba watanzania hawatumii mitandao juzijuzi hapa wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walijiandikisha kuomba nafasi ya vyuo vikuu kupitia mitandao kutoka sehemu mbalimbali za nchi toa hoja sio kubisha tuuWaliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.
Simtishi mtu nampa ushauri kijana asijejiingiza kwenye matatizo maana mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo kisheriaq anajulikana na si mtu mwingine.
Soma jina la thread usiwe kama kipofu.
1995 CCM walichakachua kura za Mrema. CHADEMA si Mrema na janja yenu tumesajua. Tumewashika pabaya, pambaf.Hata usipompigia atashinda tu kura yako sidhani kama inaweza kubadilisha kitu maana hata 1995 haikubalisha kitu.