Hii ni picha ya P. Funk, Mr 2 na Master Jay 1997

Hii ni picha ya P. Funk, Mr 2 na Master Jay 1997

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Hizi ni ngome tatu katika muziki wa Bongo Fleva Tanzania.

Unajaribu kuwaza hawa watu walivyokutana siku hii walipiga stori gani?

Pia unajaribu kuwaza kama hawa watu walijuwa leo wataitwa Legends kutokana mchango waliofanya nchi hii.

This is truely inspirational.
Screenshot_20220929-160106_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom