Tuachane na ushindi wa Dae es salaam wenye makando kando, twende kwenye mechi alizoshinda away ambazo kafungwa mechi moja tu away. Vipi huwa wanapulizia dawa?Uto shindi zao nyingi zina makando kando sana
Walijiaminisha ni hawafungiki ila wanalitia aibu taifa simba imelitangaza taifa hili vizuri tu misimu minne iliopita
Kombe lenu lingine hili Makolokolo 2023.Rekodi nyingine zinatia aibu sana.
Je ni wasi wasi gani mlikuwa nao na mnajiamini mlisajili?
Au ni kuitoa timu iliyoshuka daraja?
Hii ni aibu kubwa kwa Taifa.
NDUMBATuachane na ushindi wa Dae es salaam wenye makando kando, twende kwenye mechi alizoshinda away ambazo kafungwa mechi moja tu away. Vipi huwa wanapulizia dawa?
Ukiwa mpumbavu hakikisha watu wasijue kama wewe ni mjinga.1. USM ALGER PAMOJA NA KUSHINDA TAIFA BADO WAMESHTAKI CAF.
Wale WA kwanza walikuwa .
Clab Africane.
River united.
Sasa ni zamu ya Usm alger.
YANGA WANATIA AIBU MNO.
2. JUZI fujo za kuingia uwanjani kuvunja mageti wao yanga.
3. Vifo na majeraha wao yanga.
CAF WANAWEZA wakawafungia yangakucheza TAIFA.
YANGA NI TIMU YA AJABU SANA.
Kwanza ilitolewa hatua za awali na Alhilal Omduman CAFCL.