Nimeudhulia maafali ktk shule moja hapa Dar, kilichonisiktisha ni:
-wahitimu wengi walikuwa wamevaa Kata K
-Wahitimu walivaa suti badala ya sare zao
-Maonesho yao wengi walicheza kiduku na michezo ya kunengua na kukata viuno
Ndugu zangu haya ndiyo maadili kutoka kwenye shule zetu?