Sio saw kabisa, kama kuna mawasiliano ya siri kuna lao jambo, just chunguza, kama vipi mtoto achukue na kumpiga maufuku mawasliano, ili kusiwe na kisingizio.
Mkeo umemuoa akiwa tayari ana mtoto,na ukakubali kumuhudumia mtoto kwa mahitaji yake yote,lakini inakuja kwamba bado anawasiliana mara kwa mara na mwanaume aliyezaa nae kwa namba nyingine tofauti,na ikitokea umesika anaongea anakwambia naongea na rafiki yangu,ukummbana sana anakwambia nilikuwa naongea na baba wa mtoto kuhusu mambo yahusuyo mtoto,je utafanyaje?Wana JF hebu nipeni maoni yenu

Kuwasiliana sio tatizo ila huyo mdada mbona hamuheshimu mume wake? hata kama anaongea na mzazi mwenzie si asubiri akiwa falagha ndio watete? yaani katika hali ya ubinadamu lazima wivu utakuwepo, hivi ajiulize huyo mkaka angekuwa amezaa na mdada halafu wanawasiliana angejisikiaje, sio sawa hata kidogo heshima imempitia pembeni, si wapeane time ambayo mdada atakuwa alone!