joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; Kwa wale waliokua wakishabikia nchi za Afrika kukandamiza haki za binadamu kwa kigezo cha kuachwa kuwa huru bila kuingiliwa na nchi zingine hata pale inapoonekana wazi kukandamiza haki za raia wao, tafadhali ninapmba maoni yenu juu ya hili.
Hawa wanaotaka kufanya maandamano, wanafanya kosa gani ktk kutimiza haki Yao ya kikatiba ya kufanya maandamano ya amani?, Mbona maandamano ya Yanga juzi yalisimamisha Jiji Zima lakini hayakuzuiwa?, mbona maandamano ya kuipongeza serikali hayazuiliwi?. Sasa hapa USA ikiamua kuweka vikwazo vya uchumi bado mtasema Afrika tunaonewa?.
ichoboy01
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app