joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wameomba kibali cha kufanya maandamano kila kitu kina sheria na taratibu kwenye nchi hii hata mtoto akitaka kuoa hua kuna taratibu na sheria zinafatwa ili jambo liwe halali na zuriMY TAKE; Kwa wale waliokua wakishabikia nchi za Afrika kukandamiza haki za binadamu kwa kigezo cha kuachwa kuwa huru bila kuingiliwa na nchi zingine hata pale inapoonekana wazi kukandamiza haki za raia wao, tafadhali ninapmba maoni yenu juu ya hili.
Hawa wanaotaka kufanya maandamano, wanafanya kosa gani ktk kutimiza haki Yao ya kikatiba ya kufanya maandamano ya amani?, Mbona maandamano ya Yanga juzi yalisimamisha Jiji Zima lakini hayakuzuiwa?, mbona maandamano ya kuipongeza serikali hayazuiliwi?. Sasa hapa USA ikiamua kuweka vikwazo vya uchumi bado mtasema Afrika tunaonewa?.
ichoboy01
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuandamana ni haki ya kikatiba bila kujali Kama yanafaida au hakuna faida yoyote. Hivi ni nani wa kuamua kwamba yanafaida au hayana faida?, Serikali ambayo ndiyo inayoshutumiwa, iweje ndiyo yenye kuamua kwamba yanafaida kwa jamii au hayana faida?.Wameomba kibali cha kufanya maandamano kila kitu kina sheria na taratibu kwenye nchi hii hata mtoto akitaka kuoa hua kuna taratibu na sheria zinafatwa ili jambo liwe halali na zuri
Haya maandamano sio halali na hayana maana yoyote na hayana faida kwa nchi vile vile, Na laiti mkataba huo ungekua umesainiwa na wazungu tusingeskia maandamano wala kelele sasa hapo ndio utajua adui wa amani na haki ni mzungu