Nashukuru sana mkuu.Jaribu kukagua na vidonda vya tumbo, mkuu.
Huwa ina tabia ya aina yake. Unaweza kuwangwa hata mgongo au miguu kwa sababu tu ya vidonda vya tumbo.
Otherwise, pole sana.
NB: Kama unatumia usafiri wa gari private, wengi huwa wanavuta sana hewa/gesi hatari ile hasa baada ya gari kukaa saa nyingi imefungwa vioo, huenda hata juani, then unaingia, unafunga vioo na kuwasha AC.
Nimewahi kuwa na vidonda vya turbo mkuu.Pole mwamba...
Hapo inabidi ukapime H-Phyroli, yaweza kuwa ni Gesi imejaa kwa tumboni mkuu. Hao virus wamekuwa mwiba sana sana mwishowe husababisha vidonda vya tumbo.
Jaribu kupima vidonda vya tumbo.Mim nilikua napata maumivuNi takribani wiki sasa napitia hii changamoto ya kiafya.
Upande wa kushoto kifuani(Kwenye moyo) nahisi maumivu hasa baada ya kuvuta hewa.
Kuna dalili kama kichefuchefu na uchovu viliambatana
Hii unitokea hasa hasa wakati wa usiku. Mchana mara chache sana hasa nikiwa na njaa.
Kabla ya kuwasilisha kwenu nilienda dispensary nikacheki afya...nilikutwa na U.T.I tu. Nimetumia antibiotics hali imekaa sawa ila bado maumivu upande wa kushoto na kama kifua kubana. Na wakati mwinvine nahisi kama makohozi kwenye koo japokuwa sikooi.
Naombeni msaada hii inaweza kuwa ni nini?
Ni takribani wiki sasa napitia hii changamoto ya kiafya.