Mbinafsiiiwewe ndiye umetunyima uhuru bwana... Unachaguaje wengi hivyo.
chukua walau wawili.
Msalimie Ms Lincolin !!Melvin Hakuna mwingine
Balaaaaaaa kuwa King tuToka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.
With no particular order:-
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.
- Evelyn Salt
- Mzigua90
- Inna
- Mambembe
- Amu
- Mama Sabrina
- Cikey
- Shunie
- Raynavero
- Lynne
- Culture Gal
Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.
DinazardeWote hao taja mmoja
Bibie watu hawalipizi visasi hivyo, ndo nini kuniumiza mtt wa mwezio?Melvin Hakuna mwingine
Aaaaaaaawwwww i love u ....and u knw it.!!
Nilimwambia mtu katika uzi flani nikiwa mkubwa nataka kuolewa na King Mswati... hahaha sio kwa msg hizi private.
Nimefurahi kua sababu ya wewe kua hapa jf.
Kesi ndogo ndogo kama hizi niuzie mimi brother..John cena nipo kwa wanaotaka kumzingua shemejiOya bro tafadhali usintafute ukali, usimwite baby she is my girl
HahahaaKesi ndogo ndogo kama hizi niuzie mimi brother..John cena nipo kwa wanaotaka kumzingua shemeji
Don wangu jamani [emoji8][emoji8][emoji8] unajua vile nakupenda nimekosa hata nikujibu nini Mungu azidi kukuweka tu halafu inabidi uwe kama king mswati wote utuweke kwenye jumba mojaToka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.
With no particular order:-
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.
- Evelyn Salt
- Mzigua90
- Inna
- Mambembe
- Amu
- Mama Sabrina
- Cikey
- Shunie
- Raynavero
- Lynne
- Culture Gal
Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.
Asiyejulikana ndio niniiZipo nyingi sana
Mshana jr vs demiss
Mahandow vs smart
Yna4 vs vlad
Shunie vs asiejulikana
Sakayo vs asprin[emoji23]
Si chalii yakoAsiyejulikana ndio ninii
Nani kakwambia hajulikaniSi chalii yako
Mim naemjua ulimpa ukaka banaNani kakwambia hajulikani
1-Mzigua na Watu wakeKwanza tutajie hizo kapo ni zipi
Unataka kunivunjia ndoa yangu?Zipo nyingi sana
Mshana jr vs demiss
Mahandow vs smart
Yna4 vs vlad
Shunie vs asiejulikana
Sakayo vs asprin[emoji23]
Acha uoga mzee, we mtaje tu [emoji23] [emoji23]Unataka kunivunjia ndoa yangu?