Basi ni huyohuyo hakunaga mwingineMim naemjua ulimpa ukaka bana
WaiiiiBasi ni huyohuyo hakunaga mwingine
Huwa anabadilika kutokana na mazingira leo babe, kesho mkuu kesho kutwa kakaWaiiii
DavetAsiyejulikana ndio ninii
WoyoooooooDavet
Hebu acha kumlazimisha mchepuko wanguSasa uzi unafanya assumption kama sakayo asingekuwepo ungeruka na nanii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji41]Woyooooooo
Huyo avatar itolewe tu
Jamani itolewe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji41]
Iende wapi kwa mfanooo, hujui nilivyokuvumilia na huo mgongo wakoJamani itolewe tu
Abeeeh kaka angu
Hahha ungejua mgongo unataka kutolewa iwekwe ya kwenye dp [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iende wapi kwa mfanooo, hujui nilivyokuvumilia na huo mgongo wako
Don wangu jamani [emoji8][emoji8][emoji8] unajua vile nakupenda nimekosa hata nikujibu nini Mungu azidi kukuweka tu halafu inabidi uwe kama king mswati wote utuweke kwenye jumba moja
Tunakupenda jamani Don wetuNyote nimewaweka kwenye kundi moja la wadogo zangu wa kike.
Hii inapendeza zaidi.