Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Mbona umefanya hivyo?[emoji87]
Mbona umefanya hivyo?
Za kwako?
Utasubiria sana Kaka yanguShwari kabisa bae
Nasubiri kuona ukiandika couple yetu
Kwanini sasa upo single?
Maamuzi au watafuta bado kupata?
Hapana.....umaarufu sio kipaumbele....Sijapata asee labda kwavile mm sio maarufu huku
Hapana.....umaarufu sio kipaumbele....
Tembelea PM bila kuchoka
Ningekuwa na Dada ningekupatia..tatizo niko mwenyewe....Pm huko sindo kuanza kuja anikana huku wacha tu niwe Single mpk atakae nitaka
Utasubiria sana Kaka yangu
[emoji23][emoji23] ni sehemu ya maishaHapo kabaki mahondaw na smart wengine WASHAACHANA [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Jibu la kuvunja chaga za moyo...Utasubiria sana Kaka yangu
Wrong time agoZipo nyingi sana
Mshana jr vs demiss
Mahandow vs smart
Yna4 vs vlad
Shunie vs asiejulikana
Sakayo vs asprin[emoji23]
Hapana.....umaarufu sio kipaumbele....
Tembelea PM bila kuchoka