Basi nasubiri uje ndio tuanze kifungo kwa sasa niko HURU, kila kitu RUSKAhuo wenyewe si ndio mzuri nikija tunakuwa wawili.
Sehemu ulipoingia ya kumtaka Neybright sio hahahachimbo ndio wapi braza?[emoji3]
sasa haya ndiyo mambo.karibu nyumbani shemeji [emoji3]
on my way....Basi nasubiri uje ndio tuanze kifungo kwa sasa niko HURU, kila kitu RUSKA
Sawasiyo dada yangu hata nusu... mfungwa mwenzangu huyo.
nimeshatoka huko braza...Mungu akipenda nitarudi tena huko mwakani, vp kuna vitu unataka kuniagizia?[emoji3]
Asante lakini mbona nipo mda, hujawahi kunikuta nini?karibu nyumbani shemeji [emoji3]
Naona huchezi mbali na fursa [emoji23][emoji23][emoji23]karibu nyumbani shemeji [emoji3]
tutakie unganaji mwema.Sawa
Basi mkafungane tuu mie sina neno hata
Umeanza uchochezi joo
haha.... kama haupo sawa.mwakani nitakuulizatena.nimeshatoka huko braza...Mungu akipenda nitarudi tena huko mwakani, vp kuna vitu unataka kuniagizia?[emoji3]
hapana baby..nilikuwa nalinda maslahi yetu....au bado upo kwa Iceman 3D mimi umeniacha[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji29] [emoji29] [emoji26] [emoji26]Umeanza uchochezi joo
hapana baby..nilikuwa nalinda maslahi yetu....au bado upo kwa Iceman 3D mimi umeniacha[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji29] [emoji29] [emoji26] [emoji26]
Sent using my Galaxy S5
Sawa kila la kheri katika kuunganika kwenu.tutakie unganaji mwema.
[emoji28][emoji28][emoji28]sasa haya ndiyo mambo.
Even me baby shem....how are you my baby shemBaby shem,i miss you
nampenda shemeji yangu braza [emoji1][emoji1]Nimestuka ume mueka na Ney
Haitakiwi
Siunajua Iceman 3D ndio mshipa wa damu yangu, bila yeye mapigo ya moyo wangu yanasimama.hapana baby..nilikuwa nalinda maslahi yetu....au bado upo kwa Iceman 3D mimi umeniacha[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji29] [emoji29] [emoji26] [emoji26]
Sent using my Galaxy S5
duuh sijui nisemeje hapa.nakosa la kusemaToka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.
With no particular order:-
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.
- Evelyn Salt
- Mzigua90
- Inna
- Mambembe
- Amu
- Mama Sabrina
- Cikey
- Shunie
- Raynavero
- Lynne
- Culture Gal
Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.
Na umbea wako [emoji19][emoji19]Baby shem,i miss you